Mzee: Huna adabu, umekuja kuposa huku ukitafuna bazoka?
Kijana: Natoa harufu ya sigara mzee!
Mzee: Yani unavuta sigara?
Kijana: Sababu nimetokea baa kulewa!
Mzee: Yani unalewa?
Kijana: Nilianza kulewa wakati nikiwa jela!
Mzee: Yani na kufungwa pia?
Kijana: Ah, niliua mtu!
Mzee: Duh, kumbe wewe ni muuaji?
Kijana: Ah, kuna mzee mmoja nilitaka kumposa binti yake akaniwekea ngumu nikamuulia mbali!
Mzee: Aha, mke umepata baba. Karibu kiti tupange masuala ya harusi.
Balaa...
No comments:
Post a Comment