G-TiDE TANZANIA YAZINDUA HUDUMA YA EASY TALK...


Meneja Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Simu ya G-TiDE Tanzania, Mbwana Mtopa (katikati) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya mawasiliano ya ‘Easy-Talk’ ya kampuni hiyo Dar es Salaam leo. Wengine ni Mratibu wa huduma hiyo, Nemes Kilagula (kulia) na Ofisa Masoko, Chile Kasoga.
Meneja Masoko na Mauzo wa kampuni ya simu ya G-TiDE Tanzania, Mbwana Mtopa (kushoto) akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) bidhaa mpya za simu za kampuni hiyo wakati akitambulisha hudma mpya ya mawasiliano ya Easy Talk kwa waandishi wa habari leo Dar es Salaam. Huduma hiyo inamuwezesha mtumiaji wa simu ya G-TiDE kuweza kuchati kwa njia ya sauti.  Wengine ni Mratibu wa huduma hiyo, Nemes Kilagula (kulia) na Ofisa Masoko, Chile Kasoga.

No comments: