CHEKA TARATIBU...

Bibi mmoja katika mkoa wa Pwani kaamua kuandika wosia na kuandaa maombi yake ya mwisho. Akamweleza mwanasheria wake ana maombi mawili ya mwisho. Kwanza, anataka kuchomwa moto siku akifa, na pili anataka majivu yake yasambazwe kwenye bustani nzuuri.
Mwanasheria akauliza kwa mshangao mkubwa, "Bustani nzuri?" Kwanini Bustani nzuri?"
Bibi akajibu kwa kujiamini, "Hapo ndipo nitakuwa na uhakika binti zangu watakuja kunitembelea japo mara mbili kwa wiki!"

No comments: