CHEKA TARATIBU...

Dereva mmoja mlevi alikamatwa na polisi. Polisi alipojaribu kufungua mlango, yule mlevi akaanguka. Polisi akamwambia, "Umelewa sana!" Yule mlevi huku akijizoazoa pale chini akajibu, "Nashukuru Mungu kwa hilo. Nilifikiri nimeibiwa usukani." Balaa...

No comments: