CHEKA TARATIBU...

Polisi kajaribu kila njia kumsimamisha jamaa aliyekuwa akiendesha gari kwa mwendo wa kasi mno bila mafanikio. Baada ya jamaa yule kuona hawezi tena kulikimbia gari la polisi yule, akaamua kupaki pembeni. Polisi alipofika akamuuliza, "Ukinieleza sababu hasa za kukataa kusimama na kuamua kunikimbia, basi nitakuachia!" Jamaa baada ya kufikiri kwa muda akajibu, "Afande, wiki iliyopita polisi mmoja alitoroka na mke wangu. Sasa nikadhani yule polisi ni wewe unataka kumrudisha! Duh...

No comments: