Mshindi wa kusoma na kuhifadhi juzuu 30 za Qur'an Tukufu Afrika Mashariki kutoka Madrasat Amar Bin Yasir ya mjini Dodoma, Abdulrahman Ramadhan akipokea cheti na zawadi ya dola za Marekani 4,000 kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi wakati wa mashindano hayo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Alhikma Education Centre na kufanyika Dar es Salaam leo. Kushoto kwa Rais Mwinyi ni Msimamizi Mkuu wa Taasisi hiyo, Sheikh Abdulkadir Muhammad, Sheikh Hussein Ahmad Badawii (kushoto) na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ahad Mussa Salum (wa pili kulia).
No comments:
Post a Comment