Wakazi wa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam wakifanya manunuzi ya vyakula na matunda kwenye Soko la Buguruni leo. Vyakula kama mihogo, viazi, ndizi mbivu na magimbi ambavyo ni maarufu kwa futari hususani katika mfungo huu wa Ramadhani vinapatikana kwa wingi sokoni hapo ambapo fungu moja la mihogo, magimbi na viazi vitamu liliuzwa kati ya Shilingi 1,000 na 2,000.
No comments:
Post a Comment