PPF YAELIMISHA VIJANA MAONESHO YA SABASABA KUHUSU MAFAO...


Ofisa Msaidizi Mwandamizi wa Utayarishaji Mafao wa Mfuko wa PPF, Defrosa Shio akitoa maelezo jana ya shughuli mbalimbali za mfuko huo kwa baadhi ya vijana wa Shirika Lisilo la Kiserikali linalojishughulisha na Uzuiaji wa Matumizi ya Dawa za Kulevya, hasa kwa vijana (IOGT) kwenye Maonesho ya  36 ya Biashara ya Kimataifa kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam leo.

No comments: