NBC YAZINDUA KAMPENI YA HAJJ...

Mkuu wa Idara ya
Huduma ya Kibenki kwa kufuata Sheria za Kiislamu wa Benki ya NBC, Yassir Masoud akionesha kadi ya kutolea fedha kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya miezi miwili ya Hajj kwa ajili ya wateja wa huduma hiyo Dar es Salaam, juzi. Washindi wawili watapata fursa ya kwenda kuhiji Makka. Kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Jumuiya za Taasisi za Kiislamu, Sheikh Mussa Kundecha na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu(BAKWATA), Sheikh Suleiman Lolila.

No comments: