HIVI NDIVYO DK ULIMBOKA ALIVYOSHAMBULIWA MWANZO-MWISHO...


Mwenyekiti wa Chama cha Madaktari nchini, Dk Steven Ulimboka akisimulia mkasa mzima wa jinsi alivyoshambuliwa na watu wasiojulikana kumsababishia majeraha ambayo yamemlazimisha kukimbizwa nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi. Hapa ilikuwa kwenye Kitengo cha Mifupa cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MOI).

No comments: