HISPANIA MABINGWA ULAYA, KOCHA WAO AWEKA REKODI MPYA...

Licha ya kuiwezesha timu yake ya taifa ya Hispania kutetea Ubingwa wake wa Kombe la Mataifa ya Ulaya 'Euro 2012' kwa kuibwaga Italia kwa mabao 4-0, kocha Vicente Del Bosque ameandika rekodi mpya duniani.
Del Bosque amekuwa kocha wa kwanza kuweza kutwaa vikombe vikubwa vya soka duniani.
Ametwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kombe la Dunia na sasa Kombe la Mataifa ya Ulaya.

No comments: