FILAMU KWA AJILI YA KUMCHANGIA SAJUKI YAZINDULIWA KESHO ARUSHA...

Msanii wa filamu nchini, Wastara Juma (katikati) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana na uzinduzi wa filamu ya Sayla unaotarajiwa kufanyika kesho jijini
Arusha. Filamu hiyo ina lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kumsaidia Msanii wa filamu nchini Said Juma Kilowoko 'Sajuki' ambaye amerejea nchini hivi karibuni akitokea nchini India kwa matibabu kutokana na maradhi ya uvimbe yaliyokuwa yakitishia uhai wake. Sajuki ndiye mume wa Wastara. Wengine pichani ni wasanii wenzake, Wema Sepetu (kushoto) na Angela Karashanai.

No comments: