BIASHARA YA KUUZA 'CHENJI' IKO PALE PALE...

Mfanyabiashara ya kuuza chenji akipanga sarafu hizo kando ya kituo cha daladala cha Akiba, Barabara ya Bibi Titi Mohamed, Dar es Salaam leo  kulingana na mahitaji ya wateja wake ambao wengi wao ni makondakta wa mabasi hayo. Kitengo cha Sarafu cha Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kilishapiga marufuku biashara hiyo kwa madai kuwa ni kinyume cha sheria. 

No comments: