CHEKA TARATIBU...

Wanandoa wawili wa Kichina wanaoshi hapa Dar es Salaam wameingia kwenye ugomvi mkubwa baada ya mke kujifungua mtoto mweusi.
Akiwa na hasira mume akamuuliza mkewe, "Sisi wote wawili ni Wachina sasa inakuwaje mtoto azaliwe na ngozi nyeusi?"
Kwa upole mke akajibu, "Huyu mtoto kaungua kutokana na ukweli kuwa Dar es Salaam kuna giza linalotokana na mgao wa umeme isitoshe kuna joto kali sana!" Balaa...

No comments: