Wapenzi wawili wamekwenda hoteli kwa chakula cha jioni kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao. Wakiwa njia kurejea nyumbani, mke akagundua mumewe ana mchirizi wa machozi katika jicho lake na kuhoji kama ni hisia sababu wanasherehekea miaka 50 pamoja. Mume akajibu, "Hapana, nilikuwa nakumbuka kuhusu wakati ule kabla hatujaoana. Baba yake alinitishia kwa bunduki na kuniambia atanifunga jela miaka 50 kama sitakuoa. Kesho ndio ningekuwa huru maana ndio ningekuwa natoka jela!" Mh...
No comments:
Post a Comment