CHEKA TARATIBU...

Mwindaji kaenda kumtembelea mwindaji mwenzake na kutembezwa sehemu mbalimbali nyumbani hapo. Kwenye zizi moja alikuwa kafungiwa simba. Mwindaji mgeni akauliza, "Umemnasa lini huyu simba?"
Mwenyeji akajibu, "Hii ilikuwa miaka mitatu iliyopita, wakati nilipokwenda kuwinda na mke wangu."
Mgeni akauliza tena, "Sasa anakula nini?
Mwenyeji akajibu, "Mke wangu."

No comments: