Randy Jackson anaamini kwamba wasimamizi wa shamba la Michael Jackson wana njama za kumuua Katherine Jackson.
Randy ametoa shutuma hizo kwa hisia kale kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter muda mfupi uliopita akisema, "Ni hofu yangu na imani yangu, kwamba wanajaribu kuchukua uhai wa mama yangu."
Katika majigambo hayo, Randy ameeleza kuwa kesi dhidi yake kuwa ndio inamfanya aamini wasimamizi hao ni shetani ...akidai wanajaribu kumtenga Katherine "kama walivyofanya kwa Michael, ilimradi wahalalishe uongo wao, ajenda zao za kifedha na kulinda wosia wa uongo."
Randy aliendelea, "Ni wazi kwamba kila mmoja anayesimama dhidi ya wasimamizi wa shamba (John Branca, John McClain na mwanasheria wao Howard Weitzman) anazuiwa kuwasiliana na mama yangu."
Pia anasema shamba limewatenga Janet, Rebbie na Jermaine kufika katika nyumba ya familia huko Calabasas, mjini California ambako watoto wa Michael wanaishi na Katherine.

No comments:
Post a Comment