KAMA UNA MTOKO PASAKA TUPIA HIVI...

...Lakini sio Kanisani ama kwenye Ibada. Hiki kivazi uvae wakati wa jioni kwenye 'outing' hasa sehemu za ufukweni. Hapo utakuwa umekitendea haki kivazi hiki.

No comments: