IBADA YA IJUMAA KUU...

Mamia ya waumini wa Kanisa Katoliki wakijipanga mstari kujiandaa kwenda kubusu msalaba kama ishara ya kukumbuka mateso na kifo cha Bwana Yesu Kristo wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika kwenye Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph, Dar es Salaam, leo mchana. (Picha na Mpigapicha Maalumu).

No comments: