MPYA KUTOKA HOSPITALI ALIKOLAZWA MUAMBA...

Imeelezwa mara baada ya kupata fahamu, mchezaji wa Bolton, Fabrice Muamba kauli ya kwanza ilikuwa ni swali, "Yuko wapi Josh?" Alikuwa akiulizia mwanae Joshua huku akimgeukia mchumba wake, Shauna Magunda. Pichani kushoto, Muamba akiwa na mchumba wake  kabla ya matatizo. Kulia ni baada ya wachezaji wa ligi kuu England wakiwa nje ya hospitali walikofika kumjulia hali Muamba.
Mashabiki wa Bolton Wanderers wakiwa wametandaza jezi zenye ujumbe mbalimbali wa kumtakia afya njema Fabrice Muamba nje ya hospitali alikolazwa.

2 comments:

Anonymous said...

Mungu amsaidie kijana wa watu apate nafuu arudi kutunza familia yake.

Anonymous said...

Mungu amjalie afya njema