zironews
2014年1月21日火曜日
HAKIKA HUWEZI KUAMINI KILICHOTOKEA, JAMANI MADEREVA MTATUMALIZA...
Pichani juu ni mabaki ya gari aina ya Toyota Noah baada ya kujibamiza kwenye lori Singida na kuua watu 13 papo hapo. Kuna umuhimu wa mamlaka husika kuwa makini ili kuepusha vifo vya watu wasiokuwa na hatia.
0 件のコメント:
コメントを投稿
次の投稿
前の投稿
ホーム
登録:
コメントの投稿 (Atom)
0 件のコメント:
コメントを投稿