Rapa Fat Joe, ambaye amevuna mamilioni ya dola kutokana na vibao vyake kama "What's Luv" na "Make It Rain" -- ametiwa hatiani kwa ukwepaji kodi baada ya kushindwa kulipa malimbikizo yake ya kodi.
Rapa huyo mwenye miaka 42 ambaye jina lake halisi ni Joseph Cartagena -- alituhumiwa kukaidi kuilipa serikali kuu kiasi cha Dola za Marekani 700,000 za kodi ya mapato kwa mwaka 2007 na 2008.
Joe -- ambaye alifikishwa kwenye mahakama kuu mjini New Jersey mapema jana asubuhi kujibu mashitaka -- aliachiwa kwa dhamana ya Dola za Marekani 250,000.
Hukumu yake imepangwa kutolewa Aprili mwakani na akipatikana na hatia anaweza kuhukumiwa kifongo cha hadi miaka miwili jela.

No comments:
Post a Comment