HAKIKA TUMETOKA MBALI...

Hivi ndivyo Dar es Salaam ilivyokuwa mwaka 1975. Zunguka upendavyo lakini magari utakayokutana nayo barabarani ni Peugeot 304, Volkswagen Beetle na mabasi aina ya Leyland Albion. Hakukuwa na foleni hata kidogo!

No comments: