Eneo la msiba katika picha iliyopigwa kutokea maeneo ya Sinza Kijiweni, hali ilikuwa hivi asubuhi ya leo huku waombolezaji wakimiminika msibani licha ya mvua iliyokuwa ikinyesha.
Kutokea upande wa Hoteli ya Vatican City hali ilikuwa hivi ambapo daladala zilizokuwa zikitokea Tandale zililazimika ama kupinda kulia au kushoto kutokana na barabara hiyo ya lami kufungwa ili kupisha shughuli za msiba kuendelea hapo kutokana na umati mkubwa wa waombolezaji.

No comments:
Post a Comment