Rais Jakaya Kikwete amemteua Masha
Musomba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi.
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu,
ilitoa taarifa hiyo jana na kusema uteuzi huo ulianza Januari 22, mwaka huu.
Kabla ya uteuzi wake, Musomba alikuwa
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma
(PSPF).
No comments:
Post a Comment