Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Ernesti B. Ngereza katika Kanisa lililoko katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam. Ngereza aliyekuwa mfanyakazi wa Ikulu alifariki dunia juzi Alhamisi na kusafirishwa kwenda nyumbani kwa marehemu Lushoto, mkoani Tanga kwa mazishi jana.

No comments: