Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na Balozi Mdogo wa Misri anayemaliza muda wake, Walid Ismail, wakati balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake Migombani, mjini Unguja.

No comments: