Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Mama Salma wakitoa heshima za mwisho mbele ya mwili wa Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Flossy Gomile-Chidyaonga kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam jana.

No comments: