Kampuni ya Airtel Tanzania imezindua duka lake Mlimani City mwishoni mwa wiki baada ya lifanyia matengenezo makubwa na kulipatia muonekano wa kisasa zaidi.

No comments: