Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa 'mashoga' wawili, akapata wakati mgumu kutamka kwamba "Sasa ninyi ni MKE na MUME". Alishindwa kutamka hivyo kwa kuwa wote wawili ni wanaume. Baada ya kutafakari kwa dakika chache akapata ufumbuzi na kutamka: "Sasa ninyi ni MAN UNITED!!" Kasheshe...
No comments:
Post a Comment