MAKAMU MWENYEKITI WA CCM, PHILIP MANGULA APATA JIKO...

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini, Isaya Mengele akiwafungisha ndoa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Philip Mangula na Mwalimu Yolanda Kabelege kwenye Kanisa Kuu la KKKT Dayosisi ya Kusini, mjini Njombe, jana. 
Philip Mangula na mkewe, Yolanda mara baada ya kufunga ndoa.

No comments: