MATOKEO YA KURA ZA URAIS KENYA YALIVYO HADI SASA...

             HADI KUFIKIA SAA 7:00 MCHANA HUU          
 Matokeo yaliyotufikia katika kura za urais nchini Kenya yanaonesha hivi hadi kufikia Saa 7:00 mchana huu:-
 
Jumla ya kura zilizopigwa ni 14,410,996
Kura zilizohesabiwa mpaka sasa ni 4,411,223
Asilimia ya kura zote zilizohesabiwa ni 30%
Matokeo hadi muda huo:    Uhuru  -    2,408,650    -    55%
                                              Raila    -    1,806,663    -    41%
                                          Musalia   -       121,165    -      3%

Endelea kuperuzi ziro99blog kwa matokeo zaidi.

No comments: