HILI NDILO BASI JIPYA WALILOKABIDHIWA TAIFA STARS...

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (wa tatu kushoto) akikabidhi mfano wa funguo za basi litakalotumiwa na timu ya Taifa 'Taifa Stars', kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga (wa nne kushoto) katika sherehe ya makabidhiano iliyofanyika Dar es Salaam jana. Basi hilo lina thamani ya Shilingi milioni 200. Kushoto ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe.

No comments: