CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja kajipumzisha kwenye ufukwe wa Coco, Dar es Salaam. Mara katokea mzungu mmoja na kumuuliza, "Are you Relax?" Jamaa kwa kujiamini akajibu, "No". Dakika chache akapita mzungu mwingine na kuuliza, "Are you Relax?" Jamaa huku akioneka kukereka akajibu, "No". Hajakaa sawa akaja mzungu mwingine akauliza, "Are you Relax?" Jamaa huku akiinuka akajibu, "No". Jamaa akaondoka kuelekea kwenye maji na kukuta mzungu akiogelea. Jamaa akamuuliza yule mzungu, "Are you Relax?" Mzungu kwa furaha akajibu, "Yes". Hapo jamaa akamzaba kibao yule mzungu huku akisema, "Mpuuzi sana wewe. Umejificha huku kwenye maji wakati unatafutwa na ndugu zako kule!" Duh...

No comments: