CHEKA TARATIBU...

Mlevi mmoja kapanda daladala na kuanza kuropoka matusi mazito kwa abiria wengine mle ndani. Baada ya kuvumilia kwa muda mrefu, Kondakta akavunja ukimwa na kumwambia yule Mlevi, "Kwa tabia yako hiyo hautaenda mbinguni!" Yule Mlevi kusikia hivyo akashituka na kujibu, "Ebo! Kumbe basi linakwenda mbinguni, nishushe mie naenda Mbagala!" Duh...

No comments: