CHEKA TARATIBU...

Kijana mmoja kagombana na babake kuhusu masuala fulani ya familia. Baada ya kufikiri sana namna ya kumkomesha baba yake kufuatia kushindwa cha kumfanya, kijana akaenda kwenye geti la makaburi ya Kinondoni na kubandika picha ya baba yake kisha chini akaandika "COMING SOON!" Duh...

No comments: