CHEKA TARATIBU...

Bosi karejea ofisini kutoka kwenye mizunguko yake akiwa mwenye furaha sana na kuwaita wafanyakazi wote wasikilize vichekesho kadhaa alivyorudi navyo. Kila mmoja alicheka kwa fujo isipokuwa msichana mmoja. Bosi akauliza, "Una tatizo gani binti? Yaani huna hata mshipa wa kicheko?" Msichana kwa upole akajibu, "Sitakiwi kucheka maana Ijumaa naacha kazi!" Balaa...

No comments: