CHEKA TARATIBU...

Majibizano kati ya Hakimu na Mtuhumiwa mahakamani yalikuwa kama ifuatavyo:
Hakimu: Nakuhukumu kifungo kwa kosa la kupatikana na mtambo wa gongo.
Mtuhumiwa: Lakini mheshimiwa ule ni mtambo tu.
Hakimu: Hicho ni kidhibiti tosha kabisa.
Mtuhumiwa: Basi nihukumiwe pia kwa kosa la kubaka.
Hakimu: Ebo! Kumbe ulibaka pia?
Mtuhumiwa: Hapana, ila ninacho kifaa maalumu kwa kubakia.
Hakimu: Toba, basi nakuachia huru…

No comments: