CHEKA TARATIBU...

Wanafunzi kwenye shule moja walitakiwa kwenda kufanya utafiti mbalimbali. Wakati wa kueleza kila mmoja alichogundua mbele ya wenzake, mwanafunzi mmoja akasema, "Utafiti wangu umegundua Kiingereza ni lugha ya wanyama! Mwalimu akamtaka athibitishe hilo. Yule mwanafunzi akaanza kufafanua, "Paka anapocheleweshewa maziwa utasikia akisema NOW! NOW! Ng'ombe naye asipotosheka na chakula utasikia akisema MORE! MORE! Pia mbwa akiona mtu asiyemfahamu atasikia akiuliza WHO! WHO! Ni hayo tu mwalimu." Duh...

No comments: