WANAHARAKATI WATOA TAMKO KUHUSU KUFUNGIWA GAZETI LA MWANAHALISI...

Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania, Onesmo Olengurumwa(katikati) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati akisoma Tamko la Pamoja kwa niaba ya wadau wengine kuhusu kufungiwa kwa muda usiojulikana kwa gazeti la kila wiki la MwanaHALISI. Kushoto ni mmiliki wa gazeti hilo, Saed Kubenea na Mkurugenzi Mtendaji Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Hellen Kijo-Bisimba.

No comments: