PROMOSHENI YA "VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO" YAFIKIA TAMATI...


Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Ephraim Mafuru (kushoto) akiongea kwa njia ya simu ya kiganjani na mmoja wa washindi katika droo ya mwisho ya Promosheni ya Vumbua Hazina Chini ya Kizibo iliyoendeshwa na kampuni hiyo tangu Mei mwaka huu. Katikati ni Meneja wa Bia ya Serengeti, Allan Chonjo na wasimamizi na wakaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya Kubahatisha.

No comments: