KINONDONI WAWATOA NISHAI "WATOTO WA MIZENGO PINDA" COPA COCA-COLA...

Nahodha wa timu ya Kinondoni, Shaaban Issa (kulia ) na mlinzi Bozzen Ogolo wakimdhibiti mshambuliaji wa timu ya Rukwa, Carvin Manyika (10) wakati wa mechi ya mtoano ya Michuano ya Copa Coca-Cola kwa wenye vijana chini ya umri wa miaka 17 iliyochezwa katika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam jana. Kinondoni ilishinda kwa mabao 3-1.

No comments: