KILIMANJARO YAIBANJUA SHINYANGA COPA COCA COLA...


Mlinzi wa timu ya vijana ya mkoa wa Shinyanga, Frank Zozolo (kushoto) akigombea mpira na mshambuliaji wa Kilimanjaro, Ridhiwan Yusuph katika Mechi ya Michuano ya Ubingwa wa Copa Coca-Cola kwa vijana chini ya miaka 17 iliyochezwa kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam jana. Kilimanjaro ilishinda mabao 3-0.

No comments: