Mchungaji mmoja nchini Uingereza alikuwa akifungisha ndoa ya mashoga wawili. Ifahamike kwamba nchini humo imehalalishwa ndoa za mashoga. Basi bwana wakati akiendelea na taratibu akafikia kipengele baada ya mashoga hao kula kiapo ambapo akatakiwa kusema maneno haya, "Sasa mmekuwa mume na mke." Kabla hajatamka akafikiria sana na kisha kusema hivi kwa kimombo, "I pronounce you Man United!" Duh...
1 comment:
Surely a perfect piece of writing! We've book marked it and sent it out to all of my friends since I know they'll be intrigued, thank you very much!
Post a Comment