CHEKA TARATIBU...

Mgonjwa kaenda hospitali kwa matibabu kadhaa. akiwa katika chumba cha Daktari akasema, "Dokta, nataka kitu ambacho kitanifanya niwe na hamu ya ugomvi. Umeweka chochote kwenye karatasi hii ya maelezo yako kitakachoniweka katika hali hiyo? Daktari kwa upole akajibu: "Hiyo haina haja. We utaikuta kwenye bili yako!" Kasheshe...

No comments: