CHEKA TARATIBU...
Baada ya kutoka mahakamani, wakili akateta na mteja wake nje. Mazungumzo yao yalikuwa hivi: "Sasa umeachiwa huru. Hebu niambie ukweli. Je, uliiba lile gari? Mteja: "Baada ya kusikia mabishano yako makali humo mahakamani asubuhi hii, nimeanza kufikiria kwamba sikuiba!"
No comments:
Post a Comment