CHEKA TARATIBU...

Akitoa mahubiri usiku huo aliowasili kwenye mji mmoja mkubwa, Mchungaji aliyekuwa katika ziara alisimulia michapo mbalimbali aliyotarajia kurudia katika mikutano mbalimbali siku inayofuatia.
Kwakuwa alitaka kutumia vichekesho tena, akawataka waandishi wa habari kutoviandika katika habari watakazozichapisha magazetini.
Mwandishi chipukizi, katika habari yake kuhusu hotuba ya Mchungaji, akamalizia kama ifuatavyo: "Mchungaji alisimulia habari nyingi ambazo haziwezi kuchapishwa gazetini!"

No comments: