CHEKA TARATIBU...

Wakati ya vita ya Kagera, mwanajeshi mmoja akatakiwa kwenda eneo la mapambano. Wakati akiiaga familia yake, mtoto wake wa miaka mitatu akamng'ang'ania mguu baba yake akilia na kusema kwa kurudia rudia, "Baba usiende, tafadhali usiende!"
Wakati mzozo ukizidi kukua, mkewe akainuka na kwenda kumtuliza mtoto, "Mwache baba aende ntakuletea baba mwingine leo jioni!
Duh, jamaa kusikia vile akavunja safari pale pale… Ungekuwa wewe ungeamuaje?

No comments: