CHEKA TARATIBU...

Jamaa walikuwa kwenye baa wakisimuliana mikasa mbalimbali kwenye maisha yao. Ndipo jamaa mmoja akasema, "Sasa ni miezi mitatu tangu nilipoibiwa kadi yangu ya benki pamoja na password yake." Wenzake wakashituka sana na kuhoji, "Umesharipoti polisi lakini?" Jamaa akajibu kwa mapozi, "Hapana, sioni sababu maana huyo aliyeiba anachukua pesa kidogo kuliko anavyofanya mke wangu!"

No comments: