CHEKA TARATIBU...

Dakika chache baada ya wanafunzi kwenye chuo kimoja maarufu kuingia madarasani, ndipo likatolewa tangazo:
"Tunaomba wanafunzi walioegesha magari yao mbele ya darasa waende kuyaondoa kupisha shughuli za ujenzi wa maegesho!" Baada ya dakika ishirini hivi, likatolewa tangazo jingine: "Tafadhali tunaomba wanafunzi 70 waliokwenda kuondoa magari yao 14 sasa warejee madarasani!" Mh…balaa!

No comments: